Posts

Showing posts from October 24, 2021

NDOTO YANGU

Napata taabu Sana, ndoto yangu niliyoota imenifanya nimekosa raha,nimekosa usingizi,nimekosa hamu ya kula ninatokwa na machozi pekee sina raha Wala amani. Je! Nikweli umekosa amani kwaajili ya ndoto!? Je! Tangu uote ndoto hiyo uliyowahi kuota maisha yamebadirika!? Je! Unaona uadui tangu uote ndoto hiyo? Je! Ni kweli ndoto ile itakua chanzo cha umasikiniwangu!? Je! Kuanguka kiuchumi hivi chanzo ni ile ndoto!? Je! Kifo kile chanzo ni ile ndoto kweli? Je! Mafarakano haya chanzo ni njozi ile!? Je! Nini kimefanya nilie usingizi!? Je! Kuna nini, kuota waliokufa!?  Nimekosa nini niote ndoto mbaya Mimi kila siku!? Ndoto hizi kwanini zinanipa majuto kila siku!? Oooooooooooooh! Kumbe ndoto zinamapana makubwa mnoooo kila mmoja huota ndoto, japo wapo kadhaa wasioota ndoto lakin kunajambo linakua haliko sawa Sana.    Ayubu 33 (Biblia Takatifu) ¹⁴ Kwa kuwa Mungu hunena mara moja, Naam, hata mara ya pili, ajapokuwa mtu hajali. ¹⁵ Katika ndoto, katika maono ya usiku, Usingizi mzito uwajiliapo watu, Ka