Posts

Showing posts from September 9, 2018

KUYASHINDA MAWAZO!

Image
1610538,DirectLink_1,22607892,https://www.profitablegatecpm.com/cmsm44evgd?key=14968b76cc3b7bd087c4ee0b9793b1a0 KUYASHINDA MAWAZO! Sehemu ya kwanza (1)    MAWAZO ni hali/nguvu ya ushindani kifikra inayompata Mtu/Mwanadamu katika kuchanganua hali/vipindi tofauti vya maisha anayopitia pia katika kutafakari mambo ya msingi yanayomkabili katika maisha ya kilasiku; MAWAZO ni kitu chochote ambacho mwanadamu anafikiria katika kichwa chake. Hivyo basi utagundua kua ni dhahiri Mwadadamu huyu upo uwezekano wa hali ya juu/mkubwa wa kuweza kuwaza mawazo mazuri(yenye mafanikio), pia vilevile kuwaza mawazo mabaya (yenye hasara) na kimsingi mawazo haya yenye hasara ndio yanayotesa watu wengi na kwa namna nyingi tofauti katika maisha ya wanadamu wa sasa.    Katika kuwaza kunamajawabu yakila namna, kwamaana kuwa kila linaloonekana leo liwe jema au baya uwe na uhakika lilizaliwa kwanza katika ulimwengu wa roho usioonekana (wa mawazo) ya mtu fulani na kisha kuwapo katika ulimwengu wa nyama unaoo