Posts

Showing posts from July 1, 2018

MKONO IMARA WA KUUAMINI

Image
  https://www.googletagmanager.com/gtm.js?id='+i+dl;f.parentNode.insertBefore(j,f); })(window,document,'script','dataLayer','GTM-T7RRGW4F');</script> <!-- End Google Tag Manager -->   Nnamshukuru sana MUNGU katika KRISTO YESU alienipa mamlaka na uwezo wa kuandika makala hii, nnasema JINA LA BWANA WANGU, YESU KRISTO NA LIHIMIDIWE DAIMA.    KRISTO YESU na ushukuriwe kwakunipa kibali hiki cha makala hii ambayo inalenga kuyarudisha ya mkristo katika mstari mnyoofu wa maisha yako uliotuasa kuyaishi katika ulimwengu huu tuliopo. Nikweli ulimwengu uko vilevile ispokua waishio ulimwenguni (wanadamu) baadhi yao wanakwenda kinyume na kufuata taratibu za ibilisi shetani kwaajili ya kulitukana jina lako Jehovah, (tuhurumie maana shetani amejivika mbinu zakutosha TUSAIDIE EEE YESU KRISTO WA NAZARETI)    Basi fuatilia makala hii na miendelezo take ili kwanba wewe ndugu katika KRISTO YESU na ambae bado hujampokea kristo YESU akusaidie sikumoja uione mbingu, w