Posts

Showing posts from September 16, 2018

UHALISIA ROHONI

     " Baada ya hayo nikasikia sauti kama sauti ya makutano mengi, sauti kubwa mbinguni, ikisema, Haleluya; wokovu na utukufu na nguvu zina BWANA MUNGU wetu.    kwa kuwa hukumu zake ni za kweli na za haki; maana amemhukumu yule kahaba mkuu aliyeiharibu nchi kwa uasherati wake, na kuipatiliza damu ya watumwa wake mkononi mwake.    Wakasema mara ya pili, Haleluya. Na moshi wake hupaa juu hata milele na milele.    Na wale wazee ishirini na wanne, na wale wenye uhai wanne, wakasujudu na kumwabudu Mungu, aketiye katika kile kiti cha enzi, wakisema, Amina, Haleluya.    Sauti ikatoka katika kile kiti cha enzi ikisema, Msifuni Mungu wetu, enyi watumwa wake wote, ninyi mnaomcha, wadogo kwa wakuu.    Nikasikia sauti kama sauti ya makutano mengi, na kama sauti ya maji mengi, na kama sauti ya radi yenye nguvu, ikisema, Haleluya; kwa kuwa Bwana Mungu wetu, Mwenyezi, amemiliki.    Na tufurahi, tukashangilie, tukampe utukufu wake; kwa kuwa arusi ya Mwana-Kondoo imekuja, na mkewe amejiweka

ULIMWENGU WA MAPEPO

Image
src="https://pagead2.googlesyndication.com/pagead/js/adsbygoogle.js?client=ca-pub-5030735873453842"      crossorigin="anonymous"></script> UONGO UNAO ENEZWA NA MAPEPO Na hapo ndipo nilipo pandishwa cheo, katika ulimwengu wa mapepo naam katika ngazi ya tatu ambayo hujulikana kwa jina la "Shira 999", hali ni mnamo mwaka 1979 na ndipo nlipo pewa idadi ya juu tena ya watumishi wa kunitumikia na kua na idadi wa watumishi wa kimapepo walioko chini yangu elfu sitini (60,000) na nikiamini mimi ndio top wa mapepo yote wakati huo sikua nnatambua kama ningepanda cheo tena kwasababu mambo ya shetani mpaka uyafikie ndipo unaujua ukweli pasipo kuyafikia huwez tambua uhalisia huo hivyo mwanzoni kabla sijatunukiwa ngazi ya Shira nilikua nnafahamu hakuna ngazi nyingine juuyangu. {haya ni maneno yaliyo nenwa na mtumishi wa mungu IYEKE NATHAN UZORMA ambae alikua mmoja wa miungu ya shetani na sasa amekombolewa KWA DAMU YA YESU na hayuko kifungoni tena). Inaen

KUYASHINDA MAWAZO!

KUYASHINDA MAWAZO! Sehemu ya pili "2"         Katikasehemu hii ya pili ya somo hili la namna ya kuyashinda mawazo tutaangalia kwa undani sana Je! ni kwanamna gani Nguvu za shetani zinaweza au zinafanikiwa vipi katika kuyatawala mawazo ya mwanadamu na kumtumia/kumteka katika utawala wake kwa kazi za ulimwengu wa roho. Kwaharaka tu nikukumbushe kua tuko katika ulimwengu ambao shetani anamamlakanao kwa lolote analoliamua kulifanya kwa wakati na muda na hata kwa kiumbe chochote ispokua kwa mkristo halali mwenye mamlaka katika ulimwengu wa roho ( YAANI MWANADAMU ALIEKUMBOLEWA KWA DAMU YESU KRISTO PIA ZAIDI  KUMUAMINI YESU KRISTO NA KUTUMIA JINA LA YESU KROTO, NGUVU YA JINA LA YESU KRISTO NA DAMU YA YESU KRISTO); ni huyu mkristo pekee shetani hawezi hata kulitaja jinalake ovyo, hivyo katika sehemu hii pia tutaangalia kiundani ni kwajinsi gani shetana anaweza kuyateka mawazo ya mkristo na hutumia vigezo gani kumwangusha na kummliki kihalali kama mtumwa wake eidha uwe unajita

UCHAWI KIUHALISIA

1610538,DirectLink_1,22607892,https://www.profitablegatecpm.com/cmsm44evgd?key=14968b76cc3b7bd087c4ee0b9793b1a0 Katika shuhuda tutakazopitia leo ni maswali mengi ambayo mtumishi wa mungu IYEKE ameweza kuyajibu na kufungua wakristo wengi DUNIANI kwa shuhuda zake SWALI;Ni nini uhusiano kati ya uchawi na nguvu nyingne za giza?              MAJIBU YA SWALI: Uchawi ni kama mchezo fulani ambao ni vigumu sana kuuelezea. Ni mbinu au utaalamu unaotumiwa na nguvu za giza katika kuendeleza vita kilasiku dhidi ya wanadamu. Ni nguvu iliyojificha yenye uwezo mkubwa , au mkusanyiko wa nguv za siri katika ulimwengu wa roho zitendazo kazi kwa msaada wa mapepo ya aina mbalimbali. Wahusika ni "Roho za kichawi". Roho au mapepo yatumikayo kilasiku kulinda utendajikazi wa kichawi katika kutekeleza vita vya kiroho dhidi  ya wanadamu "Roho za kichawi" katika uelewa wa kawaida wawe waa kike au wakiume, maajenti wa kichawi huitwa Wachawi. Kwamaneno mengine, nguvu ya kichawi hutenda ka

MAHALI SAHIHI PAKUISHI

Image
          <script async src="https://pagead2.googlesyndication.com/pagead/js/adsbygoogle.js?client=ca-pub-5030735873453842"      crossorigin="anonymous"></script>           Na lihimidiwe jina la MKOMBOZI WA ULIMWENGU YESU KRISTO WA NAZARETI ambaye hutupa kushinda na zaidi ya kushinda.           Katika maono, Maono yangu hali Mungu wa Israeli akiwa anasema waziwazi mchana na usiku, basi akaniambia sema neno hili Je, ni wapi mahali mwanadamu anastahili kuishi ,  MAHALI SAHIHI PAKUISHI .  Tena mahali hapo si kila mwanadamu anastahi kuishi ispokua mteule wa MUNGU tu pekee, Yaani yule alie tayari kuufia mwili na kua hai katika ulimwengu wa ROHO na kumsikiliza ROHO wa  MUNGU pekee. (    ) <script async src="https://pagead2.googlesyndication.com/pagead/js/adsbygoogle.js?client=ca-pub-5030735873453842"      crossorigin="anonymous"></script>