Posts

Showing posts from June 6, 2021

NAMNA YA FANYA MAAMUZI YA HEKIMA HASA UKIWA KIJANA.

Image
 NAMNA YA FANYA MAAMUZI YA HEKIMA HASA UKIWA KIJANA (somo na Mwl.Christian Myeya) Joshua 24:15. 15. And if it seem evil unto you to serve the LORD, choose you this day whom ye will serve; whether the gods which your fathers served that were on the other side of the flood, or the gods of the Amorites, in whose land ye dwell: but as for me and my house, we will serve the LORD. Nanyi kama mkiona ni vibaya kumtumikia BWANA, chagueni hivi leo mtakayemtumikia; kwamba ni miungu ile ambayo baba zenu waliitumikia ng’ambo ya Mto, au kwamba ni miungu ya wale Waamori ambao mnakaa katika nchi yao; lakini mimi na nyumba yangu tutamtumikia BWANA.       NINA KUOMBEA KWA MUNGU BABA KUPITIA BWANA NA MWOKOZI WETU YESU KRISTO ALIYE HAI UWEZE KUYAELEWA YOTE KWA MAPANA MAKUBWA YA ROHO MTAKATIFU USOMAPO SOMA HILI AMINA. Basi atika  somo letu hili ili kuweza kueleweka kirahisi zaidi nianze na kutoa maana za maneno yaliyoko katika kichwa cha somo hili:- MANENO HAYO YALIYO UNDA SOMO NI, 1.Maamuzi 2.Hekima 3.