Posts

Showing posts from September 2, 2018

NDOTO NA MAANA ZAKE

Image
NDOTO Ndoto ni nini?           NDOTO   ni mfululizo wa  picha , ma wazo ,  mihemko  na  hisia  ambao hutokea  akilini , kwa kawaida bila makusudi, katika hatua fulanifulani za  usingizi . [1] Yaliyomo na malengo ya ndoto hayajaeleweka vizuri, ingawa tangu zamani yamejadiliwa sana katika  sayansi  (hasa  elimunafsia ) na katika  dini .  Fani  inayochunguza ndoto kisayansi inaitwa  onirolojia . [2] Kwa kiasi kikubwa ndoto zinatokea wakati usingizini  macho  yanapogeukageuka zaidi, ambapo  utendaji  wa akili ni mkubwa karibu sawa na mtu anapokuwa macho. Zikitokea wakati mwingine wa usingizi, ndoto hazikumbukwi sana baada ya kuzinduka. [3] Muda  wa ndoto unaweza kuwa tofauti sana: tangu  sekunde  chache hadi  dakika  20–30. [3] Kwa wastani watu wanapata ndoto 3 hadi 5 kwa usiku, wengine hadi 7; [4]  lakini nyingi zinasahaulika m...