Posts

Showing posts from March 10, 2024

NAMNA YA KUFANIKIWA HARAKA.

     <script async src="https://pagead2.googlesyndication.com/pagead/js/adsbygoogle.js?client=ca-pub-5030735873453842"      crossorigin="anonymous"></script>  SHINDA TABIA HIZI ILI UMUONE MUNGU  (a)TABIA YA KUJIHURUMIA HURUMIA Kamwe Hakuna Mafanikio Kwa Watu wanaojihurumia kwenye kufanya mambo,Watu wanaojihurumia hurumia kwenye kumtolea Mungu Kwamba nikitoa Hii Sasa nitaishije,Sasa Nitakula Nini ,Watu wanaojihurumia kwenye Kuwa na Maisha ya Mifungo ,eti nikifunga Sana Si nitakonda , nikifunga mara Kwa mara eti nauchosha Mwili Wangu , Watu wanaojihurumia hurumia kwenye Kuomba Wanaomba kistaha staha   KAMA UNATAKA KUUONA MKONO WA MUNGU KAMWE EPUKA KUWA MTU WA KUJIHURUMIA HURUMIA FANYA MAMBO KWA KUJITOA ,FANYA MAMBO KWA KUJIDHABIHU  (b) TABIA YA KUPENDA USINGIZI Hata Maandiko Yanasema apendaye Usingizi huelekea Umaskini, Usingizi ni adui anayewachelewesha wengi kufikia Hatma zao, eti Wapo Watu wanafuata Ushauri Wa kidaktari Kuwa Mtu ANAPASWA kulala masaa8 K