KUYASHINDA MAWAZO!

KUYASHINDA MAWAZO!


Sehemu ya pili "2"
        Katikasehemu hii ya pili ya somo hili la namna ya kuyashinda mawazo tutaangalia kwa undani sana Je! ni kwanamna gani Nguvu za shetani zinaweza au zinafanikiwa vipi katika kuyatawala mawazo ya mwanadamu na kumtumia/kumteka katika utawala wake kwa kazi za ulimwengu wa roho. Kwaharaka tu nikukumbushe kua tuko katika ulimwengu ambao shetani anamamlakanao kwa lolote analoliamua kulifanya kwa wakati na muda na hata kwa kiumbe chochote ispokua kwa mkristo halali mwenye mamlaka katika ulimwengu wa roho ( YAANI MWANADAMU ALIEKUMBOLEWA KWA DAMU YESU KRISTO PIA ZAIDI  KUMUAMINI YESU KRISTO NA KUTUMIA JINA LA YESU KROTO, NGUVU YA JINA LA YESU KRISTO NA DAMU YA YESU KRISTO); ni huyu mkristo pekee shetani hawezi hata kulitaja jinalake ovyo, hivyo katika sehemu hii pia tutaangalia kiundani ni kwajinsi gani shetana anaweza kuyateka mawazo ya mkristo na hutumia vigezo gani kumwangusha na kummliki kihalali kama mtumwa wake eidha uwe unajitambua au hujitambui katika ulimwengu wa nyama ( ulimwengu wa kawaida).
   

Comments

  1. How to win real money playing roulette on roulette
    Roulette is one of the most exciting 파주 출장마사지 sports to play in and many 의정부 출장마사지 players will love this. However, 진주 출장안마 the excitement of this game can make 밀양 출장샵 it 전라남도 출장샵 hard to master

    ReplyDelete

Post a Comment

Popular posts from this blog

UCHAWI KIUHALISIA

NDOTO NA MAANA ZAKE

UHALISIA ROHONI