UCHAWI KIUHALISIA

1610538,DirectLink_1,22607892,https://www.profitablegatecpm.com/cmsm44evgd?key=14968b76cc3b7bd087c4ee0b9793b1a0
Katika shuhuda tutakazopitia leo ni maswali mengi ambayo mtumishi wa mungu IYEKE ameweza kuyajibu na kufungua wakristo wengi DUNIANI kwa shuhuda zake

SWALI;Ni nini uhusiano kati ya uchawi na nguvu nyingne za giza?
             MAJIBU YA SWALI: Uchawi ni kama mchezo fulani ambao ni vigumu sana kuuelezea. Ni mbinu au utaalamu unaotumiwa na nguvu za giza katika kuendeleza vita kilasiku dhidi ya wanadamu. Ni nguvu iliyojificha yenye uwezo mkubwa , au mkusanyiko wa nguv za siri katika ulimwengu wa roho zitendazo kazi kwa msaada wa mapepo ya aina mbalimbali.

Wahusika ni "Roho za kichawi". Roho au mapepo yatumikayo kilasiku kulinda utendajikazi wa kichawi katika kutekeleza vita vya kiroho dhidi  ya wanadamu "Roho za kichawi" katika uelewa wa kawaida wawe waa kike au wakiume, maajenti wa kichawi huitwa Wachawi.

Kwamaneno mengine, nguvu ya kichawi hutenda kazi kupitia Roho mbalimbali katika uloimwengu wa giza. Kwa muda mrefu sana, nimekua nikiongelea utendajikazi wa nguvu za kipepo. katika ulimwengu usioonekana, zipo aina nyingi za mbinu zilizo andaliwa na nguvu za giza katika kpigana vita dhidi ya wanadamu, vyote hivi huwezeshwa kupitia mchango wa nguvu  wakipepo zitokazo kwa roho za shetani.

 Hali hii inafanana na pale mtu anapopeleka kuhifadhi pesa zake benki. watu wengi hufanya kazi benki, lakini wafanyakazi hao sio wamiliki wa hizo pesa. Na kama ukitaka kuchukua pesa benki, ni lazima ufuate utaratibu wa benki ulio andaliwa na benki husika. Vivyo hivyo uchawi ni mkusanyiko wa roho chafu za shetani zilizo achiliwa kwaajili ya kupiga vita dhidi ya wanadamu. Lakini katika kufanya hayo roho za kichawi na maajenti wao (wachawi), wanapaswa kufuata kanuni maalumu za kipepo, kwa jinsi ileile mtu alieweka pesa zake benki anapotaka kuzichukua.

Hivyo rejelea katika swali ambalo liliuliza JE! NI NINI UHUSIANO KATI YA WACHAWI NA NGUVU NYINGINE ZA GIZA? mfano wa jibu zuri ni kutoka wafanyakazi wa benki, maajenti wa benki mawakala wa benki na hata watangaza benki na mwenye benki mwenyewe.
<!-- Google Tag Manager -->
<script>(function(w,d,s,l,i){w[l]=w[l]||[];w[l].push({'gtm.start':
new Date().getTime(),event:'gtm.js'});var f=d.getElementsByTagName(s)[0],
j=d.createElement(s),dl=l!='dataLayer'?'&l='+l:'';j.async=true;j.src=
'https://www.googletagmanager.com/gtm.js?id='+i+dl;f.parentNode.insertBefore(j,f);
})(window,document,'script','dataLayer','GTM-T7RRGW4F');</script>
<!-- End Google Tag Manager -->

Comments

  1. Chunky Habanero Wings - TaKe Casino カジノ シークレット カジノ シークレット bet365 bet365 betway betway betway betway leovegas leovegas matchpoint matchpoint 메리트카지노 메리트카지노 ボンズ カジノ ボンズ カジノ 다파벳 다파벳 578 戜옸이 숙스토토토토토토 토토토 토토토토토 토토류 스토토토스토 토류 토토스토 토류 토토류

    ReplyDelete

Post a Comment

Popular posts from this blog

NDOTO NA MAANA ZAKE

UHALISIA ROHONI