AINA TATU ZA MAUTI

AINA TATU ZA MAUTI NA NGUVU ILIYOMO NDANI YA HIYO AINA YA MAUTI.


Mauti hasa ni Nini?

Mauti ni mwili ulio KUFA.

MAUTI ni hali au kitendo cha mtu kutoka katika uhai kuingia KIFO/KUFA
(Mfano wa msemo; Umauti ulimkuta akiwa safarini kuja hapa! (ni kitendo).
U-mauti unapo mjia mtu huwa anashindana nao pasipo kujua ki-mwili, wengine huaga wapendwa wao Kwa hali kanakwamba ni fumbo asilolijua hata muagaji anaye aga.

KIFO/KUFA ni kutokua na mawasiliano kabisa kati ya mwili na roho, yaani ni hali ya milango ya fahamu kutofanya kazi tena kabisa na kuanza kuharibika.

AINA TATU ZA MAUTI


Comments

Popular posts from this blog

UCHAWI KIUHALISIA

NDOTO NA MAANA ZAKE

UHALISIA ROHONI